Kutoka 19:3 BHN

3 Basi, Mose akapanda juu mlimani kwa Mungu. Hapo Mwenyezi-Mungu akamwita Mose kutoka huko juu mlimani, akamwambia, “Hivi ndivyo utakavyowaambia wazawa wa Yakobo, hao Waisraeli,

Kusoma sura kamili Kutoka 19

Mtazamo Kutoka 19:3 katika mazingira