Kutoka 19:5 BHN

5 Sasa basi, kama mkiitii sauti yangu na kulishika agano langu, mtakuwa watu wangu wateule kati ya mataifa yote, maana dunia yote ni yangu.

Kusoma sura kamili Kutoka 19

Mtazamo Kutoka 19:5 katika mazingira