Kutoka 2:14 BHN

14 Naye akamjibu, “Nani aliyekuweka wewe kuwa mkuu na mwamuzi wetu? Je, unataka kuniua kama ulivyomuua yule Mmisri?” Hivyo, Mose aliogopa na kufikiri, “Bila shaka jambo hilo limejulikana!”

Kusoma sura kamili Kutoka 2

Mtazamo Kutoka 2:14 katika mazingira