19 Nao wakamjibu, “Mmisri mmoja alituokoa mikononi mwa wale wachungaji, naye mwenyewe akachota maji na kuwanywesha wanyama wetu.”
Kusoma sura kamili Kutoka 2
Mtazamo Kutoka 2:19 katika mazingira