Kutoka 2:22 BHN

22 Zipora akamzalia mtoto wa kiume. Mose akasema, “Nimekimbilia katika nchi ya kigeni”, kwa hiyo akampa huyo mtoto jina Gershomu.

Kusoma sura kamili Kutoka 2

Mtazamo Kutoka 2:22 katika mazingira