5 Basi, binti Farao akashuka mtoni kuoga, na watumishi wake wakawa wanatembeatembea kandokando ya mto. Binti Farao akakiona kile kikapu katika majani, akamtuma mjakazi wake akichukue.
Kusoma sura kamili Kutoka 2
Mtazamo Kutoka 2:5 katika mazingira