Kutoka 2:9 BHN

9 Binti Farao akamwambia huyo mama, “Mtunze mtoto huyu, umlee kwa niaba yangu, nami nitakulipa mshahara wako.” Basi, huyo mama akamchukua mtoto, akamlea.

Kusoma sura kamili Kutoka 2

Mtazamo Kutoka 2:9 katika mazingira