Kutoka 20:7 BHN

7 “Usilitaje bure jina langu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. Maana mimi Mwenyezi-Mungu sitaacha kumwadhibu anayetumia jina langu vibaya.

Kusoma sura kamili Kutoka 20

Mtazamo Kutoka 20:7 katika mazingira