Kutoka 21:14 BHN

14 Lakini mtu akimshambulia mwenzake makusudi na kumwua kwa ujeuri, hata kama atakimbilia kwenye madhabahu, mtamtoa huko madhabahuni pangu na kumwua.

Kusoma sura kamili Kutoka 21

Mtazamo Kutoka 21:14 katika mazingira