2 Ukimnunua mtumwa Mwebrania, atakutumikia kwa miaka sita, lakini mwaka wa saba atakuwa huru na kuondoka, bila malipo.
Kusoma sura kamili Kutoka 21
Mtazamo Kutoka 21:2 katika mazingira