Kutoka 21:22 BHN

22 “Wanaume wakipigana na kumwumiza mwanamke mjamzito, hata mimba yake ikaharibika bila madhara mengine zaidi, yule aliyemwumiza atatozwa faini kama atakavyodai mumewe mwanamke huyo na kama mahakimu watakavyoamua.

Kusoma sura kamili Kutoka 21

Mtazamo Kutoka 21:22 katika mazingira