Kutoka 22:13 BHN

13 Kama huyo mnyama aliraruliwa na wanyama wa porini, huyo mtu aliyekuwa amekabidhiwa lazima amlete kama ushahidi. Hatalipa malipo yoyote kwa ajili ya mnyama aliyeraruliwa na wanyama wa porini.

Kusoma sura kamili Kutoka 22

Mtazamo Kutoka 22:13 katika mazingira