Kutoka 22:15 BHN

15 Lakini kama mwenyewe alikuwako, basi aliyemwazima hatalipa chochote. Kama alikuwa ni mnyama aliyekodishwa, mwenyewe ataikubali tu bei ya kukodisha.

Kusoma sura kamili Kutoka 22

Mtazamo Kutoka 22:15 katika mazingira