27 kwa kuwa hiyo ndiyo nguo yake ya pekee; ndiyo atakayojifunika nayo. Au wadhani atalalia nini? Akinililia nitamsikiliza, maana mimi ni mwenye huruma.
Kusoma sura kamili Kutoka 22
Mtazamo Kutoka 22:27 katika mazingira