Kutoka 23:11 BHN

11 Lakini mnamo mwaka wa saba, utayaacha mashamba yako bila kupanda mbegu, ili maskini miongoni mwa watu wako wapate chakula kilichosalia humo, na wanyama wa porini wale. Utafanya vivyo hivyo katika shamba lako la mizabibu na la mizeituni.

Kusoma sura kamili Kutoka 23

Mtazamo Kutoka 23:11 katika mazingira