Kutoka 23:16 BHN

16 Mtaadhimisha sikukuu ya mavuno ya kwanza ya kazi zenu na ya mavuno ya mashamba yenu. Mtaadhimisha sikukuu ya kukusanya mavuno mwishoni mwa mwaka mnapokusanya mazao ya kazi zenu.

Kusoma sura kamili Kutoka 23

Mtazamo Kutoka 23:16 katika mazingira