Kutoka 23:31 BHN

31 Mipaka ya nchi yenu itakuwa kutoka bahari ya Shamu hadi bahari ya Mediteranea, na kutoka jangwani mpaka mto Eufrate, maana nitawatia wakazi wa nchi hiyo mikononi mwenu, nanyi mtawafukuza wawaondoke.

Kusoma sura kamili Kutoka 23

Mtazamo Kutoka 23:31 katika mazingira