33 Msiwaruhusu waishi nchini mwenu wasije wakawafanya mtende dhambi dhidi yangu; maana kama mkiitumikia miungu yao, hakika hiyo itakuwa mtego wa kuwanasa.”
Kusoma sura kamili Kutoka 23
Mtazamo Kutoka 23:33 katika mazingira