5 Ukimwona punda wa mtu anayekuchukia ameanguka na mzigo wake, msaidie mtu huyo kumsimamisha punda wake, wala usimwache na kwenda zako.
Kusoma sura kamili Kutoka 23
Mtazamo Kutoka 23:5 katika mazingira