Kutoka 24:8 BHN

8 Mose akaichukua ile damu na kuwanyunyizia watu, akisema, “Hii ndiyo damu ya agano ambalo Mwenyezi-Mungu amelifanya nanyi kufuatana na maneno haya yote.”

Kusoma sura kamili Kutoka 24

Mtazamo Kutoka 24:8 katika mazingira