Kutoka 25:2 BHN

2 “Waambie Waisraeli wanipe michango ya matoleo, nawe upokee kwa niaba yangu. Utapokea kutoka kwa mtu yeyote atakayetoa kwa moyo mkunjufu.

Kusoma sura kamili Kutoka 25

Mtazamo Kutoka 25:2 katika mazingira