Kutoka 26:11 BHN

11 Utatengeneza kulabu hamsini za shaba na kuziingiza katika vile vitanzi hamsini ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia na hivyo kufanya pazia moja la hema.

Kusoma sura kamili Kutoka 26

Mtazamo Kutoka 26:11 katika mazingira