Kutoka 26:14 BHN

14 Utatengeneza pia kifuniko kingine cha hema kilichofanywa kwa ngozi laini ya kondoo dume na ngozi laini ya mbuzi.

Kusoma sura kamili Kutoka 26

Mtazamo Kutoka 26:14 katika mazingira