Kutoka 26:25 BHN

25 Hivyo kutakuwa na mbao nane pamoja na vikalio vyake kumi na sita vya fedha: Vikalio viwili chini ya kila mbao na vikalio viwili chini ya ubao mwingine.

Kusoma sura kamili Kutoka 26

Mtazamo Kutoka 26:25 katika mazingira