Kutoka 26:29 BHN

29 Mbao zote utazipaka dhahabu na kuzifanyia pete za dhahabu zitakazoshikilia hizo pau, ambazo pia utazipaka dhahabu.

Kusoma sura kamili Kutoka 26

Mtazamo Kutoka 26:29 katika mazingira