Kutoka 26:31 BHN

31 “Utatengeneza pazia la nyuzi za rangi ya buluu, zambarau na nyekundu na kitani safi iliyosokotwa. Pazia hilo utalitarizi kwa ustadi kwa viumbe wenye mabawa.

Kusoma sura kamili Kutoka 26

Mtazamo Kutoka 26:31 katika mazingira