37 Vilevile utatengeneza nguzo tano za mjohoro na kuzipaka dhahabu. Nguzo hizo zitakuwa na kulabu za dhahabu, na kila moja itakuwa na tako la shaba.
Kusoma sura kamili Kutoka 26
Mtazamo Kutoka 26:37 katika mazingira