Kutoka 26:4 BHN

4 Utashonea vitanzi vya buluu upindoni mwa pazia la mwisho la kipande cha kwanza, hali kadhalika utashonea vitanzi mwishoni mwa pindo la nje la kipande kingine cha pazia.

Kusoma sura kamili Kutoka 26

Mtazamo Kutoka 26:4 katika mazingira