6 Kisha utatengeneza kulabu hamsini za dhahabu ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia, hivyo hema litakuwa kitu kimoja.
Kusoma sura kamili Kutoka 26
Mtazamo Kutoka 26:6 katika mazingira