11 Hali kadhalika upande wa kaskazini, urefu wa chandarua utakuwa mita 44, na nguzo zake 20 za shaba, lakini kulabu za nguzo na vitanzi vyake vitakuwa vya fedha.
Kusoma sura kamili Kutoka 27
Mtazamo Kutoka 27:11 katika mazingira