Kutoka 27:16 BHN

16 Mlango wenyewe wa ua utakuwa na pazia zito lenye urefu wa mita 9, lililotengenezwa kwa sufu ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na kitani safi iliyosokotwa, na kutariziwa vizuri. Pazia hilo litashikiliwa na nguzo nne zenye vikalio vinne.

Kusoma sura kamili Kutoka 27

Mtazamo Kutoka 27:16 katika mazingira