18 Ua huo utakuwa na urefu wa mita 44, upana wa mita 22, na kimo cha mita 2.25. Vyandarua vyake vitakuwa vya kitani safi na vikalio vyake vya shaba.
Kusoma sura kamili Kutoka 27
Mtazamo Kutoka 27:18 katika mazingira