Kutoka 28:21 BHN

21 Basi, patakuwa na mawe kumi na mawili yaliyochorwa majina kumi na mawili ya wana wa Israeli. Kila moja litakuwa kama mhuri, ili kuwakilisha makabila yale kumi na mawili.

Kusoma sura kamili Kutoka 28

Mtazamo Kutoka 28:21 katika mazingira