Kutoka 29:20 BHN

20 Nawe utamchinja na kuchukua kiasi cha damu na kumpaka Aroni na wanawe kwenye ncha za masikio yao ya kulia na vidole gumba vya mikono yao ya kulia, na vidole gumba vya miguu yao ya kulia. Damu inayobaki utairashia madhabahu pande zake zote.

Kusoma sura kamili Kutoka 29

Mtazamo Kutoka 29:20 katika mazingira