Kutoka 29:27 BHN

27 Kuhani anapowekwa wakfu, kidari na paja la kondoo dume wa kuwekea wakfu vitaletwa na kuwekwa wakfu mbele yangu kwa kufanya ishara ya kunitolea, navyo vitakuwa vya Aroni na wanawe.

Kusoma sura kamili Kutoka 29

Mtazamo Kutoka 29:27 katika mazingira