33 Watavila vitu hivyo vilivyotumika kuwaweka wakfu na kwa ajili ya kuwafanyia upatanisho, lakini mtu mwingine asiruhusiwe kuvila kwani ni vitakatifu.
Kusoma sura kamili Kutoka 29
Mtazamo Kutoka 29:33 katika mazingira