Kutoka 29:42 BHN

42 Sadaka hii ya kuteketezwa itatolewa daima, kizazi hata kizazi, mbele yangu mimi Mwenyezi-Mungu, mbele ya mlango wa hema la mkutano ambapo mimi nitakutana nanyi na kuongea nanyi.

Kusoma sura kamili Kutoka 29

Mtazamo Kutoka 29:42 katika mazingira