Kutoka 29:44 BHN

44 Hema la mkutano na madhabahu nitavifanya vitakatifu; vilevile Aroni na wanawe nitawaweka wakfu ili wanitumikie kama makuhani.

Kusoma sura kamili Kutoka 29

Mtazamo Kutoka 29:44 katika mazingira