Kutoka 3:12 BHN

12 Mungu akamwambia, “Mimi nitakuwa pamoja nawe. Utawatoa watu wa Israeli na kuja kuniabudu mimi Mungu juu ya mlima huu. Hiyo itakuwa ishara kwamba ni mimi Mungu niliyekutuma wewe.”

Kusoma sura kamili Kutoka 3

Mtazamo Kutoka 3:12 katika mazingira