4 Mwenyezi-Mungu alipoona kwamba Mose amegeuka kukiangalia kichaka, akamwita pale kichakani, “Mose! Mose!” Mose akaitika, “Naam! Nasikiliza!”
Kusoma sura kamili Kutoka 3
Mtazamo Kutoka 3:4 katika mazingira