Kutoka 3:8 BHN

8 na hivyo, nimeshuka ili niwaokoe mikononi mwa Wamisri. Nitawatoa humo nchini na kuwapeleka katika nchi nzuri na kubwa; nchi inayotiririka maziwa na asali, nchi ya Wakanaani, Wahiti, Waamori, Waperizi, Wahivi na Wayebusi.

Kusoma sura kamili Kutoka 3

Mtazamo Kutoka 3:8 katika mazingira