Kutoka 30:16 BHN

16 Wewe utaipokea fedha hiyo ya upatanisho kutoka kwa Waisraeli, nawe utaitumia kwa shughuli za kazi za hema takatifu, nayo iwe ni ukumbusho wa Waisraeli mbele yangu, fidia ya maisha yenu.”

Kusoma sura kamili Kutoka 30

Mtazamo Kutoka 30:16 katika mazingira