Kutoka 30:20 BHN

20 kabla ya kuingia kwenye hema la mkutano au kukaribia madhabahu ili kunitolea tambiko mimi Mwenyezi-Mungu, tambiko zitolewazo kwa moto; watafanya hivyo wasije wakafa.

Kusoma sura kamili Kutoka 30

Mtazamo Kutoka 30:20 katika mazingira