Kutoka 30:32 BHN

32 Mafuta haya kamwe yasimiminiwe mtu yeyote wa kawaida, wala yasitengenezwe mafuta mengine ya aina hii; haya ni mafuta matakatifu na ni lazima yawe daima matakatifu kwenu.

Kusoma sura kamili Kutoka 30

Mtazamo Kutoka 30:32 katika mazingira