Kutoka 30:4 BHN

4 Utaitengenezea pete mbili za dhahabu na kuzitia chini ya ukingo wake kwenye pande mbili zinazokabiliana; hizo pete zitatumiwa kushikilia mipiko wakati wa kuibeba.

Kusoma sura kamili Kutoka 30

Mtazamo Kutoka 30:4 katika mazingira