Kutoka 30:9 BHN

9 Kwenye madhabahu hiyo, kamwe msifukize ubani usio mtakatifu, wala msitoe sadaka ya kuteketezwa, wala sadaka ya nafaka, wala kumimina juu yake sadaka ya kinywaji.

Kusoma sura kamili Kutoka 30

Mtazamo Kutoka 30:9 katika mazingira