Kutoka 31:18 BHN

18 Mwenyezi-Mungu alipomaliza kuongea na Mose mlimani Sinai, alimpatia Mose vile vibao viwili vya mawe ambavyo yeye Mungu aliviandika zile amri kwa kidole chake mwenyewe.

Kusoma sura kamili Kutoka 31

Mtazamo Kutoka 31:18 katika mazingira