Kutoka 32:11 BHN

11 Lakini Mose akamsihi Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, akisema, “Ee Mwenyezi-Mungu, kwa nini hasira yako inawaka vikali dhidi ya watu wako uliowatoa nchini Misri kwa uwezo mkuu na mkono wenye nguvu?

Kusoma sura kamili Kutoka 32

Mtazamo Kutoka 32:11 katika mazingira