Kutoka 32:13 BHN

13 Wakumbuke watumishi wako, Abrahamu, Isaka na Israeli, ambao uliwaapia kwa nafsi yako mwenyewe, ukisema, ‘Nitawazidisha wazawa wenu kama nyota za mbinguni na nchi yote hii niliyowaahidia nitawapa vizazi vyenu wairithi milele.’”

Kusoma sura kamili Kutoka 32

Mtazamo Kutoka 32:13 katika mazingira