Kutoka 33:1 BHN

1 Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Anza safari uondoke hapa, wewe na watu hao uliowatoa nchini Misri, mwende katika nchi niliyomwapia Abrahamu, Isaka na Yakobo, nikisema, ‘Nitawapa wazawa wenu nchi hii’.

Kusoma sura kamili Kutoka 33

Mtazamo Kutoka 33:1 katika mazingira